logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Zawadi unayotakiwa kumnunulia mpenzi wako kama mwanamke msimu wa krismasi

Wakati huu wanawake wengi hutarajia zawadi kutoka wa wanaume na wapenzi wao.

image
na Radio Jambo

Habari18 December 2020 - 06:34

Muhtasari


  • Zawadi unayotakiwa kumnunulia mpenzi wako kama mwanamke msimu wa krismasi

Msimu huu wa krismasi baadhi ya watu wengine huwa furahisha wapenzi wao na zawadi chungu nzima.

Wakati huu wanawake wengi hutarajia zawadi kutoka wa wanaume na wapenzi wao.

Lakini wakati huu wanawake wanapaswa kuwanunulia waume wao zawadi na kuwafurahisha.

 

Zawadi si zawadi tu bali soma baadhi ya zawadi ambazo unapaswa kumnunulia mwanamme wako kama mwanamke msimu huu wa krismasi.

1. Saa nzuri yenye umaridadi

Ndio kuna saa ambazo ni saa lakini wanaume wanapenda kuvalia saa kwa ajili ya umaridadi wao

Kama mwanamke mtafutie mumeo au mpenzi wako saa nzuri.

2.Viatu

Tafuta kiatu cha mtindo wa sasa mpelekee mpenzi wako msimu huu wa krismasi, na utaona mapenzi yenu yakinoga kunoga.

3.Mnunulie simu nzuri

 

Kuna  aina nzuri za simu ambazo zimezinduliwa hivi karibuni, mbali na kuwa na simu ambayo ako nayo atakuwa akitumia simu hiyo na kukuona hapo kwa maana ni wewe ulimnunulia.

4.Mashine ya kuosha

Kwa kawaida wanaume wengi ni wavivu  kwa kufua nguo na hata kusafisha nyumba zao kama mpenzi wake unaweza mnunulia mashine hiyo.

Zawadi zingine ni kama vichwa vya sauti, kama umebarikiwa na pesa pia unaweza mnunulia gari.

Unaweza mnunulia mpenzi wako zawadi ipi wakati huu wa sikukuu?


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved