Shilingi kwa ya Pili

‘ Huwezi kumkataa mwanao’ Mamake Diamond amwambia

TOM KAKA ANA WAZOOM WAMBEA. JEE WATAONGEA NINI JUU YA MFANANO WAKE YEYE NA DINGI .

Muhtasari
  •  Diamond baadaye aliziweka picha zake na Naseeb Junior  huku mashabiki wake wakishangaa jinsi anavyofanana na mtoto wake
  • Video yao wakicheza muziki na  kuimba pamoja ao wao Gere imesambazwa mitandaoni na kuzua maoni mbali mbali .

 

Tanasha Donna na Mama Dangote

Diamond Platnumz  na  Tanasha Donna  walikutana mwishoni mwa wiki tangu walipotengana mwezi machi mwaka jana . Tanasha aliondoka Tanzania na mwanawe akiwa na umri wa miezi sita  na Diamond hajamuona mtoto huyo tangu  hapo hadi wikendi wakati Tanasha alipovuka mpaka kwenda  Tanzania  ili kumpeleka mtoto wake amuone baba yake .

 Tanasha yaoneana alizua kumbukumbu za kale na Diamond na walionekana katika karamu moja siku ya  jumamosi usiku mzima . Video yao wakicheza muziki na  kuimba pamoja ao wao Gere imesambazwa mitandaoni na kuzua maoni mbali mbali .

 Diamond baadaye aliziweka picha zake na Naseeb Junior  huku mashabiki wake wakishangaa jinsi anavyofanana na mtoto wake.

 Mamake Diamond Sandra Kassim aka Mama Dangote  aliweka picha yake na mwanawe na kusema

TOM KAKA ANA WAZOOM WAMBEA. JEE WATAONGEA NINI JUU YA MFANANO WAKE YEYE NA DINGI .

 Haya hapa baadi ya maoni waliotoa wafuasi wake Diamond .

mama_dangote HII NI BALAA ATA KUKU HARUKI ‍‍

_chokuu Copy Paste ♥️

sharifa3728 Yessssssss SIMBA HUYU NDIO MWENYEEEWEEEE SIMBAAAAAAA THE LION KING

naviomusic  @diamondplatnumz You cannot run from the forefathers!

 

chaggaempress  Tanasha kakupa your photocopy please love this woman.

mercydlai001 Look-alike..Like father like son

sandrah_sanchez Waaah copy and paste even the smile tanasha amejua kukomesha zari 

rachelbahati_ This’s your twin, no doubt.

9585m.ary Asante kutuzalia Diamond Kenyaaa

susannjapit Wueehhlakini huyu anakukaa tu from head to toe….

albertsack328 mond photocopy

jayvon_tz He just looks like you

erick_shop Tanasha anatoa vitu si mchezo iyo copy balaa

whinsy.aje Copy paste

cr_yakubu Copy ya diamond platnumz photocopied by Tanasha

chiogoofine_godwin_ Your resemblance 

iamkingsadio Duh hii photocopy kweli 

chabymastory HATUHITAJI DNA BOSS