Kifo

RIP: Wapenzi wa muziki wa Mugithi wamuomboleza Mighty Salim

Mighty Salim alitambulika pia kwa weledi wake kwa muziki wa mugithi

Muhtasari
  • Katika mahojiano hapo awali  alisema imekuwa vigumu kwake kukubali kwamba kakake Salim Junior  aliaga dunia
Marehemu Mighty Salim

Wapenzi wa muziki wa mugithi wameenelea kutuma risala zao za rambi rambi kufuatia kifo cha  mwanamuziki Mighty Salim ambaye jina lake halisi  Timothy Njuguna  aliyeaga dunia siku ya jumapili januari tarehe 24 kwa ajili ya tatizo la figo .

 Aliaga dunia baada ya maadhimisho ya miaka sita tangu kuaga dunia kwa  kakake mkubwa Salim Junior  ambaye alifarii januari tarehe 23 mwaka wa 2016. Katika mahojiano hapo awali  alisema imekuwa vigumu kwake kukubali kwamba kakake Salim Junior  aliaga dunia

 Hizi hapa  baadhi ya jumbe za risala za rambi rambi kutoka kwa wafuasi wake