Orodha wa watu mashuhuri ambao hatukujua kama wanaweza achana

Muhtasari
  • Orodha wa watu mashuhuri ambao hatukujua kama wanaweza achana
  • Wengi waliweka matumaini kwa mashabiki wao kuwa hawatawahi achana hadi kifo kiwatenganishe lakini nini kilifanyika
Diamond Zari
Diamond Zari

Mapenzi yakinoga hamna mtu yeyote ambaye anaweza tenganisha wapenzi wawili, kuna baadi ya wakenya ambao mapenzi yao na uhusiano wao kufahamika sana na wwanamitandao.

Kuna wale walionekana kwamba hatawahi achana kwa ajili ya jinsi walivyokuwa wanaoneshana mapenzi mitandaoni.

Baadhi yao baada ya kutangaza mapenzi yao kwenye mitandao ya kijamii hawakukaa sana wakiwa pamoja bali waliachana.

 

Hata hivyo hatujawasahau kama walikuwa wapenzi kwa maana wengi waliweka matumaini yao hapo.

Hii hapa orodha ya watu mashuhuri ambao hatukujua wala kufahamu kama watakuja kuachana siku moja na kila mtu kuendela na maisha yake.

1.Zari Hassan na Diamond Platnumz

Mwanasosholaiti Zari na staa wa bongo Diamond kwa kweli mapenzi yao yalikuwa ya kipekee na yenye kutamanika na watu wengi.

Wawili hao licha ya kutengana huwa wanaonana kwa ajili ya watoto wao.

2.Nick Mutuma na Tansha Donna

Muigizaji Nick na Tanasha walichumbiana wa takriban miezi saba huku wakiacha Agosti mwaka wa 2017, jinsi mapenzi yao yalikuwa yamenoga wengi hawakutarajia kwama wawili hao wanaweza achana.

 

3.Betty Kyallo na Dennis Okari

Walikuwa na harusi ya kupigiwa mfano na ya kipekee, weni walidhani kuwa wataishi kuwa mume na mke milele lakini wakaachana miezi chache baada ya kufunga pingu za maisha.

4.Justin Beiber na Selena Gomez

Wawili hao walitangaza mapenzi yao mwaka wa 2011 huku wakiachana mwaka wa 2018.