Wakenya wamshambulia msanii Bahati baada ya kumshauri Diamond amuoe Tanasha

Muhtasari
  • Bahati ajipata upande mbaya na wanamitandao baada ya kumwambia Diamond amuoe Tanasha
  • Wikendi iliyopita Tanasha alienda Tanzania na mwanawe kumuona Diamond

Msanii Bahati amejipata upande mbaya na wakenya baada ya kupakia picha ya Diamond na Tanasha huku akimwambia msanii huyo angemuoa Tanasha.

Baadhi ya wanamitando walidai kwamba akiri kwamba anataka kufanya collabo na staa wa bongo Diamond.

"Niliamka nikifikiria kama ningrkuwa @Diamondplatnumz singemuache mrembo kama huyu atoke kwangu ati arudi kenya 🙆‍♂️... Lakini Shida Ni Moja Tuu : MIMI SIO SIMBA 🦁." Aliandika Bahati.

 

Hizi hapa hisia za wanamitandao;

Bonnie Murungi: Platinumz ni Simba ,,,cheza chini kijanaa

Philip Omulama: Eh wewe sio simba, wewe ni panya

Benja JB: Pumzisha matako kwako ,,ukona bibi na bado unaona wasichana uku inje wakiwa beautiful

Annlyzah Bill: Sasa tangu lini paka akawa mshauri wa Simba???....wewe Ni paka ndio maana unafuata shosh na kum-worship everday ...Simba Hana wakati wa kufuata mtu....they follow him instead....

Don Carlos East'King: Tafadhali bro kataza Dianah awache kushinda akinipigiapigia niko na wife

Vinnyeboy Lukaku: Wee endelea kukula grandma wachana na simba punda hii

 

Chimoo Peter: We ni kasimba hii Kenya inataka watu kaa Sonko munapanga secret alafu mwishowe anakuanika mkamba ni mkamba