Nisikie mumeachana tena,'Terence Creative amwambia mchekeshaji Mulamwah na mpenzi wake

Muhtasari
  • Mashabiki wamwambia Mulamwah wasiachana na mpenzi wake
MULAMWAH 2
MULAMWAH 2

Mwaka jana uvumi ulienea kwamba mchekeshaji MUlamwaha ameachana na mpenzi wake, huku MUlamwah akiandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa instagram kuhusu kuachana kwao.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alipakia picha yake na mpenzi wake huku baadhi ya mashabiki wakimuonya wasiweze kuachana tena.

Mchekeshaji mwenzake Terence Creative pia aliunga baadhi ya mashabiki huku akiwaambia wasiachane tena wala asisikie wameachana.

 

"Nisiskie mumeachana tena." Terence Aliandika.

Hizi happa baadhi ya hisia za mashabiki;

honalinur: Hii usichome inakaa poaπŸ˜‚πŸ˜‚

flossytrukid: Ambia bibi yako aongeleshe siz yake Niko hapa natafuta patanishoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

presenter_obae: Washone ya future Konki junior iwekwe itulie tu...

duncantsumbaIle:  shati ulichoma kumbe ilikua na watoi?

nebulazzkenya: Kwani hizi nguo zilikuwa ngapi mtu wanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.... Twinning 😍😍😍

 

finesse_ngara_: Usichome hiiπŸ˜‚πŸ˜‚bro

savaisylvia: πŸ˜‚πŸ˜‚ I didn't see that coming

spannerbowy: Aki nyinyi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

chao_mam_mamii: Mnajikuta bahati na dianaπŸ˜‚πŸ˜‚