'Na vile ulijichocha,'Eric Omondi akejeliwa na mashabiki baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Khaligraph Jones

Muhtasari
  • Eric Omondi apokea kichapo cha mbwa kutoka kwa Khaligraph Jones

Baada ya mchekeshaji Eric OMondi kutangaza vita vyake dhidi ya rappa Khaligraph Jones amekuwa akipakia video jins atampa kichapo cha mbwa, huku akinunu jenea akisema kwamba atammaliza.

Lakini majigambo hayo yote na sifa zake zote hii leo Februari 23 zimezikwa baada ya kupokea kichapo yeye mwenye kutoka kwa Jones kinyume cha matarajio yake.

Kupitia kwenye ukurasa wake Eric alipakia video vya vita hivyo, huku baadhi ya mashabiki wakimkejeli.

 

"Tunaishi kupigana siku nyingineπŸ’ͺ ...Mpinzani wangu alitumia njia za siri, alicheza dhidi ya Kanuni za jadi za Ndondi, kupiga chini ya ukanda ni mwendo usiofaa na usiopendeza. Timu yangu ya ufundi tayari imebishania mechi hii na tunachukua hatua zote za kisheria dhidi ya mwamuzi na mpinzani wangu. Kuna mapenzi na lazima kuna mechi nyingine," Aliandika Omondi.

Hii hapa video ya vita hivyo;

Hizi hapa baadhi ya hisia za wanamitandao baada ya kuona video hiyo;

mtunecessary: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Erico ni kama wale watoto wachokozi wanachapwa ju ya kiherehere alafu wanastaki kwa head teacher

jibrilblessing: Bro naona ulipeana blow jobs πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

kangethefitness: Kufa dereva kufa malanga

brainless_.ke: We kitu unaeza piga ni raondiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

_am_kingsley: Ulipigwa kaa shiettπŸ˜‚kumbe huwa ni mdomo tuu πŸ˜‚πŸ˜‚

 

cyrill_the_comedian: poleee mos baba

rockotieno: We kitu unaeza piga ni mdomoπŸ˜‚ Respect the OG

wambui_the_first:πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚venye uliwa umejichochaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚