(+Video)Winnie Odinga asheherekea siku yake ya kuzaliwa kwa njia ya kipekee

Muhtasari
  • Winnie Odinga asheherekea siku yake ya kuzaliwa kwa njia ya kipekee
Winnie Odinga
Winnie Odinga

Mwanawe kinara wa chama cha ODM Raila Odinga, Winnie Odinga huku akisheherekea siku yake ya kuzaliwa alisheherekea kwa njia ya kipekee.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa twitter Winnie alipakia video huku akisakata muziki, akiwa kaunti ya Siaya.

Winnie alifikisha miaka 31, akiwa kwenye mahojiano na radiojambo Winnie alisema kwamba mwaka wa 2007 baada ya baba yake kupoteza uchaguzi mkuu alilia.

Winnie anafahamika sana nchini kwa kumuunga baba yake mkono, huku akisema kufanya kazi na baba yake ni jambo nzuri sana

"Asanteni nyote kwa kunitakia siku njema nikisheherekea siku yangu ya kuzaliwa, nafurahia siku yanu ya kuzaliwa nikiwa kaunti ya Siaya na marafiki zangu

Mungu awabariki nyote," Aliandika Winnie.

Hii hapa video akisakata densi amayo ilikuwa kwa lugha ya luo;