Tarehe 8 Machi ikiwa ni siku ya wanawake duniani, kila mtu usheherekea mkewe, mpenzi wake na hata mzazi wake wa kike kwa njia tofauti.
Kuna wale hupelekwa kujivinjari na hata kuandikiwe jumbe za kipekee kwa njia ya kuwashukuru wake zao na wapenzi wao.
Mcheza santuri DJ Mo kupitia kwenye ukurasa wake alimsheherekea mkewe msanii wa nyyimbo za injili Size 8 kwa ujumbe wake kipekee.
Mo alimshukuru kwa yale yote ambayo amemfanyia na kuwa katika maisha yake.
"kila kitu juu yako ni maalum, umekuwa nguzo ,watoto nao umenipa kweli kweli nakupenda," Aliandika Mo.
Hizi hapa baadhi ya jumbe za mashabiki
perizsavana: Si mrudishe the murayas pale YouTube๐ข
maurinem_mutave: โค๏ธmy power couple always๐
okambodavid: Ungemwekea slices za onion hivo๐๐๐
elina.karisa.334: ๐๐๐happy women's day to your beautiful queen๐๐๐
a1collectionske: Happy Women's Day @size8reborn ๐๐
Kutoka kwetu wanajambo tunawatakia wanawake wote siku njema ya wanawake wakisheherekea siku hii maalum.