Mwanabiashara Zari Hassan amewakosoa mashabiki ambao wamekua wakisema kwamba anampenda mwanawe Tiffah sana kuliko wanawe wale wengine.
Kwa muda sasa Zari amekuwa akipakia picha za mwanwe Tiffah, huku zikiibua mdahalo kwenye mitandao ya kijamii ya instagram.
Huku akijibu baadhi ya mashabiki kwamba Tiffah si mwanawe wa mpendwa alikuwa na haya ya kusema.
'Yeye sio mtoto wangu mpendwa lakini binti yangu wa pekee," Aliandika Zari.
Hizi hapa baadhi ya jumbe za mashabiki kuhusina na swala hilo;
mamad5181: Not only your only daughter, but also she is your true friend indeed and the one who will wipe away your tears. β€οΈβ€οΈ
zaridieharddaily: Baby gal looking so fine πππ
mafiambishi: Mtoto wa boss nae ni boss: We have allowed mama only heiress to the throne ππ₯π©π©π©
fatma_lugogoLil: miss Independent β€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈ I love the attitude.so beautiful β€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈ
lilynyaluo: Gorgeous is an under statement looking like the princess you are.π₯π₯π₯π₯
laplusbelle_ea: ππππ the Pretoria beauty with brains
merylkesh: This one was born ready eishπ₯π₯π₯