Video ya siku: Tazama jinsi mtangazaji Ghost Mulee alisheherekea siku ya kuzaliwa ya mwanawe

Muhtasari
  • Tazama jinsi mtangazaji Ghost Mulee alisheherekea siku ya kuzaliwa ya mwanawe
Ghost Mulee

Mtangazaji wa radiojambo na kocha wa timu ya mpira ya Harambee Stars Jacob Mulee amesheherekea siku ya kuzaliwa na mwanawe kwa njia ya kipekee.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alipakia, video akiwa na mwanawe huku akimlisha keki.

Baada ya kupakia video hiyo aliandika ujumbe huu;

"Wacha Mungu akakkupe na kutimiza matamanio yako, ukapulize mishumaa mingi katika maisha yako na uwe na afya tele 

Heri njema siku yako ya kuzaliwa Jesse," Aliandika Ghost.

Pia alipakia video nyingine na kumtakia mwanawe maisha merefu, huku mashabiki wake wakituma jumbe hizi.

wanzajona: Hsppy Birthday Jesse, to many more cheers πŸ₯‚πŸŽŠπŸΎ

joseph_n_michael: Happy birthday to himπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

wanzajona: Family over everything.... Count your blessings name them one by oneπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

tynakagasi: Ghost mulee 😜😜😜😜πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯happy birthday Jesse

isaac_bella_muchesia: Happy birthday J

Hii hapa video hiyo;