- Muigizaji Sandra Dacha almaarufu Silprosa amewashauri wanaume wasikubali kuwapenda au kuoa wanawake au mwanamke ambaye hapendi pesa
Muigizaji Sandra Dacha almaarufu Silprosa amewashauri wanaume wasikubali kuwapenda au kuoa wanawake au mwanamke ambaye hapendi pesa.
Ni ushauri ambao ulipokelewa kwa njia tofauti na baadhi ya mashabiki wake,huku baadhi ya wengine wakimuunga mkono.
Ni ushauri ambao umekuja wakati wanaume wengi wanawaogopa wanawake kwa madai kwamba wanatafuta pesa kwao badal ya upendo wa kweli.
"Sijui nani anahitaji kusikia haya lakini usimchumbie au kumuoa mwanamke ambaye hapendi pesa," Aliandika Sandra.
Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki wake;
maajdesigns: ππππππ We hear you.
jasmine_qollection: πππ Acha kikosi cha stingy men kifike
niphaisalambo: wambie
stevenzackaria: Wanakuchungulia kwa nyuma
verowpeter: Pesa sabuni ya Roho alarrππ
cha_ri_.ty: This should be put on a billboard πππππΌ
lylyane_fletcher: Money firstπππtukule ubrokeπ
nyowilafl: oooh yes number one qualification to be a wife material Mama, you are hotππ₯
atienoyver: N plis note: money is not everything BT its the only thing