Almasi iliyo na kasoro ni ya thamani zaidi kuliko kokoto bila kasoro-Karen Nyamu ajisifu

Muhtasari
  • Mwanasiasa Karen Nyamu, na mama wa mtoto wake msanii Samidoh, kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram amejisifu huku akijiita almasi
  • Karen Nyamu ajisifu baada ya video yake kuenea mitandaoni

Mwanasiasa Karen Nyamu, na mama wa mtoto wake msanii Samidoh, kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram amejisifu huku akijiita almasi.

Usemi wake unajiri siku chache baada ya kusema kwamba baba wa mtoto wke hana nguvu ya kujitetea na kusimama na ukweli.

"Almasi iliyo na kasoro ni ya thamani zaidi kuliko kokoto bila kasoro

 

(A diamond with a flaw is worth more than a pebble without imperfections)" Aliandika Karen Nyamu.

Baada ya ujumbe wake mashabiki wake walitoa hisia tofauti na hizi hapa hisia hizo;

mutiesnowrine: With all this beauty u only meet married men😢😢 mungu akukumbuke akinikumbuka

queen.darleen.254: Kasweetie u made me proud... Go go go u have my support😂😂😂😂😂..wasikuletee wakileta nyef nyef niite for back up. ....wasichezee wakamba😂

mwathira: Karen nini hua inakusubua😮 😮 sometimes,,mwanamke mrembo❤️❤️❤️

gladys.reigns: Indeed and who said the best glowing diamond comes from clear waters? Lazima uchimbe kisima na uchutame. All others are background noises...🔥🔥🔥🔥

ceo_faith: Nipeeni dawa. Nimejaribu kuchukia huyu nikashindwa😂😂😂😂.. Nitafanya aje sasa aki

 

ns_kimani: True! Better a treasure in cowdung than a stone in a mountain stream

kenyafredie: Karen tupee vida nyingine yenye humwambii aweke kichwa pekee...mwambie aweke yote kwa next video🥳🥳

peter_kabiaru: Mimi ata bibi yangu akuwe president sigwezi regret na ku apologize kuzaliwa na wewe.