Nimejaribu kupata ujauzito tangu januari lakini sijafanikiwa-Akothee Afichua

Muhtasari
  • Msanii Akothee anafahamika sana kwa ushauri wake, na mambo ambayo hupakia kwenye ukurasa wake wa instagram
  • PIa alisema kwamba kama hatapata mtoto kwa mwaka nne zijazo ataacha kutafuta mtoto
akoth stylish 1 (1)
akoth stylish 1 (1)

Msanii Akothee anafahamika sana kwa ushauri wake, na mambo ambayo hupakia kwenye ukurasa wake wa instagram.

Wiki hii alivuma sana baada ya kumashauri mwanawe ampende mwanamume ambaye ana pea na wala sio upendo.

Katika ushauri wake alimwambia kwamba akimpenda mwanamume ambaye ana pesa upendo utakuja baadaye.

Siku ya Jumatano, alipakia picha kwenye ukurasa wake wa instagram,ikiandamana na ujumbe aliofichua kwamba amejaribu kupata ujauzito tangu januari lakini hajafanikiwa.

PIa alisema kwamba kama hatapata mtoto kwa mwaka nne zijazo ataacha kutafuta mtoto.

"Imekuwa miaka 6,kama sitapata mtoto kwa miaka minne zijazo nitaacha,tangu januari nimejaribu kupata ujauzito lakini sijafanikiwa," Aliandika Akothee.

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki baada ya Akothee Kufichua hayo;

tabithamwaqar: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ati its not coming

_.para.chuti._: Alaaaaaaaaaaaaaaa ❀️❀️

wanzaaa001: Nlikua na kadress ka haka. They were fireπŸ˜πŸ˜‚

maureen_cikuh: Why is it not coming?πŸ˜‚πŸ˜‚

seshmamakay: From your mouth to God's ears. He answers prayers.