'Nikiwaambia mimi ni chopi achaneni na sisi,'Nadia Mukami afichua haya baada ya matokeo ya KCPE

Muhtasari
  • Mwanafunzi wa kwanza alikuwa na alama 433, kutoka shule ya msingi ya Kari Mwailu
  • Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Nadia alikuwa na haya ya kusema
Nadia-Mukami
Nadia-Mukami

Msanii Nadia MUkami anafahamika sana kwa ajili ya bidii yake kata kazi yake ya usanii, baada ya waziri wwa elimu kutangaza matokeo ya darasa la nane KCPE,Nadia alifichua kwamba shule ambayo iliongoza katika mtihani huo wa mwaka wa 2020 alikuwa anasomea hapo.

Mwanafunzi wa kwanza alikuwa na alama 433, kutoka shule ya msingi ya Kari Mwailu.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Nadia alikuwa na haya ya kusema;

"Mwanafunzi wa kwanza katika mtihani wa mwaka wa 2020, ni wa kutoka katika shule ambayo nilisomea nikiwa shule ya msingi, Kari Woiyee

nikiwaambia mimi ni chopi achaneni na sisi Ila hii shule tulipigwa sanaπŸ˜πŸ˜πŸ˜‚na tulikula shida πŸ˜’," Aliandika Nadia.

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki baada ya ujumbe wake msanii huyo;

nicki_bigfish: Na kumbuka niki tokea kwa gazeti na 447 kwa hii chuo

moseswekesa05: Where are you now?

gundilizzy: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nyinyi n chopi wewe ulipata ngap

silaw_sang: ambia raia mbona wewe hukufika 400 🎀🎀

katekonshens: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ahha sawa lookalikeπŸ˜‚πŸ˜‚