Hongera!Mashabiki wampongeza msanii Avril huku akijitayarisha kutoa albamu mpya

Muhtasari
  • Avril kutoa albamu mpya,mashabiki wampongeza
avril
avril

Sauti yake msanii Judith Nyambura almaarufu Avril inapendwa na mashabiki wake, ni msanii ambaye amekuwa kwa tasnia ya burudani kwa zaidi ya miaka 5.

Avril amepokea tuzo nyingi za uigizaji pia za usanii wake, kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram msanii huyo alitangaza habari njema kuwa atatoa albamu mpya Aprili,30,2021.

Pia alifichua kwamba amekuwa akifanya bidii yake kwa ajili ya albamu hiyo karibu mwaka mmoja.

Avril alishukuru wale wote ambao wamekuwa wakifanya kazi nao, ili kufanikisha albamu yake.

"Karibu mwaka mmoja nikifanya kazi kwa ajili ya albamu hii, inagharimu kijiji na nashukuru kwa ajili ya kijiji hiki,"Aliandika.

Albamu yake Avril iinafahamika kama 'Spirit'.

Mashabiki walichukua fursa hiyo kumpongeza Avril kwa kazi yake nzuri, na hizi hapa baadhi ya jumbe zao

pryshonafrica: πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ they’re really not ready

victoria_wangeci: Just tell us where to buy it. Congrats mama. πŸ‘

marketinginafrica: So beautiful we wish you all the success. We can't wait for the launch . Africa rising πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œβ€οΈ

theboybleezy: πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ QueenπŸ™ŒπŸ˜

dianamumbua: Can't waitπŸ‘πŸ‘πŸ˜πŸ”₯