Muigizaji Blessed Njugush ni mmoja wa wachekeshaji ambao wanapendwa sana na mashabiki wake kwa ajili ya ubunifu wa kipekee katika uigizaji wake.
Njugush amebarikiwa na mke na mtoto mmoja, mtoto ambaye amefuata nyayo zake za uigizaji.
Huku akisheherekea siku ya kuzaliwa na ndugu yake NJugush alisema kwamba anafuraha kwa maana anajua asipoiona keshi ndugu yake atamlea mwanawe kuwa mwanamume kamili.
"Heri ya kuzaliwa Mtoto wa baba yangu @ngugi_ndegwa_lepoete. Nisingeuliza Múru mwingine wa Maitú
Angalia kile umekuwa. Nimefurahi sana kwamba ikiwa sitaiona siku ya kesho Tugi atakuzwa kuwa muungwana na mwanamume kamili na wewe!!! Ndegwa alilea wanaume sahihi!" liandika Njugush.
Hizi hapa jumbe za mashabiki;
ngugi_ndegwa_lepoete: Shukran m没r没 wa mait没. I'm proud of you and I pray that we live long to accomplish more. Father raised men and mum's prayers aren't invain. The future holds greater @blessednjugush
joewmuchiri: A visual representation of Jayden and Kenyan taxes 馃槀馃槀馃槀
lucianderitu: Please kuna power on our words .... I speak long life to you, you will see Tugi's children .... Happy 馃帀
07.81991277: Tema hiyo mate ya not seeing other days Tema now