Sio kila mwanamume anataka ngono, si kila mwanamke anataka pesa,' Ghost Mulee awashauri mashabiki

Muhtasari
  • Je umejiuliza kwanini ndoa nyingi wakati huu hazidumu, na kwanini vijana wengi hawataki kuinia katika ndoa?
  • Lakini kulingana na mtangazaji wa radiojambo Ghost Mulee ni kuwa sio kila mwanamume anataka ngono wala kila mwanamke anataka pesa.
Ghost Mulee

Je umejiuliza kwanini ndoa nyingi wakati huu hazidumu, na kwanini vijana wengi hawataki kuinia katika ndoa?

Wanaume wengi wameweka akilini mwao kwamba wanawake wa sasa wanataka pesa na wala sio mapenzi ya ukweli, pia nao wanawake wameweka dhana akilini mwao kuwa wanaume wanataka tu tendo la ndoa na kuwaacha.

Lakini kulingana na mtangazaji wa radiojambo Ghost Mulee ni kuwa sio kila mwanamume anataka ngono wala kila mwanamke anataka pesa.

 

Kuna wale wanatafuta mapenzi ya kweli.

Ni ujumbe ambao umekuwa ukitangazwa sana kwenye mitandao ya kijamii lakini sio wote ambao wamekuwa wakitilia maanani.

Dhana ya kuwakejeli na kuwahukumu wengine inapaswa kutolewa akilini mwa watu wengi, huku tukiwaonyesha watoto wetu mfano mwema.

"Sio kila mwanamume anataka ngono, na sio kila mwanamke anataka pesa, kuna wale wanataka amani akilini mwao,na mapenzi ya ukweli, unakubali," Ghost alisema.

Hizi hapa hisia za mashabiki baada ya ujumbe wake mtangazaji huyo;

lizmazera: Umegonga ndipoπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

essy.k.queen: I agree

 

thrifty_little_decors: Truth be known πŸ‘πŸ‘

otienofelixotienoz019: Absolutely true!

mwenjeldinho: And they don't exist

game_changers254: Ni ngumu kupata hao though. But wako

go_fit_kenya: Absolutely but love depends on the two for good survival