Lala salama!sijui nini ilifanyika-Vdj Jones aomboleza kifo chake DJ mike Kay

Muhtasari
  • Vdj Jones aomboleza kifo chake DJ mike Kay
  • Huku mcheza Santuri JOnes akimuomboleza alifichua kwamba alimfunza kuwa mcheza Santuri ana akampa jina hilo

Wacheza santuri nchini wanaomboleza kifo chake DJ Mike Kay, baada ya kuaga dunia JUmamosi baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Huku mcheza Santuri JOnes akimuomboleza alifichua kwamba alimfunza kuwa mcheza Santuri ana akampa jina hilo.

Kay alikuwa anacheza nimbo za kikuyu na Reggae,pia alisema kwamba hajui nini kilifanyika bali MUngu anajua kwanini hayo yalitendeka.

 
 

"Sijui nini haswa kilitendeka lakini hii ni siku ya huzuni, lala salama ndugu nilikufunza kuwa DJ, na ukawa kiongozi 

Muziki ni mchezo wangu, MUngu anajua bora RIP @dj_mike_kayπŸ’”πŸ’”#genjenimbaya,"

Hizi hapa baadhi ya jumbe za za rambi rambi kutoka kwa mashabiki;

djclintoz: What happeed? 😒😒😒😒

dj_vern_kenya: Rest easy bro2h1 likeReply

jaystar_kenya: R.i.p

fujesabbas__: 😒😒😒😒😒😒😒😒very sad man

djbunduki: Whaaaaaaat? ?? May his soul rest in peace!!

bella__beila: Waah this is sad 😭😭 may his soul rest in peace