Picha ya siku:Tazama picha ya awali ya mtangazaji Massawe inayowakosesha wengi usingizi

Muhtasari
  • Mtangazaji wa Radiojambo Massawe Japanni ni miongoni mwa watangazaji wanaopendwa sana na mashabiki kenya
  • Pia amekuwa akiwahimiza mashabiki wake kupitia kwenye mitandao ya kijamii

Mtangazaji wa Radiojambo Massawe Japanni ni miongoni mwa watangazaji wanaopendwa sana na mashabiki kenya.

Massawe ni mama wa watoto watatu, huku kipindi chake kikiwa ni cha kutoka saa nne hadi saa nane mchana kila siku ya wiki.

Mtangazaji huyo amekuwa akitetea haki za wanawake, hasa wale wanataka msaada wa mtoto kutoka kwa baba zao.

Pia amekuwa akiwahimiza mashabiki wake kupitia kwenye mitandao ya kijamii.

KUpitia kwenye ukurasa wake wa instagram amepakia picha akiwa mrembo, huku mashabiki wakipendezwa na picha zake.

Hizi hapa baadhi ya picha hizo;