'Mungu wasamehe,'Amber Lulu asema baada ya Watanzania kukejeli mwanawe

Muhtasari
  • Msanii Amber Lulu awaombea wanamitandao msamaha kwa Mungu walio kejeli mwanawe
Amber-Lulu-posing-2
Amber-Lulu-posing-2

Msanii Amber Lulu, kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram ameambia Mungu awasamehe  Wanamitandao na Watanzia ambao walikejeli mwawe Jumanne usiku.

Lulu alipakia picha ya mwanawe baada ya kupewa kazi ya ubalozi na kampuni ya sabuni Tanzania, ambapo wanamitandao walichua fursa huyo na kumkejeli mwanawe na kunena maneno makali.

Pia kupitia kwenye ukurasa huo aliandika ujumbe akitaka Mungu awasamehe wale walikejeli mwanawe.

 

"Wacha Mungu awasamehe," Lulu aliandika.

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki;

mona_milfat: Aisee yan wangejua tunayopitia mpaka kupakata hao watoto afu lichawi limoja linatoka hko linakuja kutukana,kweli mungu awasamehe

fey_mad: Usiumie kipenzi ndio ukubwa huo hakuna mtoto mbaya duniani km unajua uchungu wa kuzaa ila km huna uchungu lzm utaropoka

gladnessjohh: 😢😢😢Dah pole hata mi imeniumiza sana..

umbea_daily: Awajui watendalo....nawengi walokoment Shitt Wanawake Sasa Cjui awajui Leba kulivyo au Laaah......Mungu awasamehe

cutie_getruder: Binadam ambae hujui kuumba wala hujui kutoa pumzi unasubutu kutoa kauli chafu kwa mtoto🙌 kweli mwenyezi mungu atusamehe🙏

 

viatu_olpercollection: Kabisa naumia kam vile ni mimi kuna comment mpka imenitoa machozi😢