Matokeo ya DNA yathibitisha Professor Hamo ni baba wa wanawe Mcheshi Jemutai

Muhtasari
  • Mcheshi Jemutai na mchekeshaji Professor Hamo walivuma sana mitandao wiki chache zilizopita baada ya Jemutai kufichua kwamba Hamo hajukumikii mahitaji yake
images
images

Mcheshi Jemutai na mchekeshaji Professor Hamo walivuma sana mitandao wiki chache zilizopita baada ya Jemutai kufichua kwamba Hamo hajukumikii mahitaji yake.

Jemutai sasa ni mama mwenye furaha baada ya matokeo ya DNA kuthibitisha kwamba Hamo ni baba wa watoto wake.

Kupitia kwenye ujumbe wake Jemutai alidai kwamba Hamo aliwaona wanawe mara ya mwisho mwaka jana Oktoba, na alikuwa mlevi wakati huo.

 
 

Huku akitangaza ripoti za DNA, alipakia ujumbe na kusema kuwa asilimia 99.9% ya ripoti hiyo ni kwamba wanawe ni wake Hamo.

"Matokeo ya DNA yametoka 99.9%," Aliandika Jemutai

Haya hapa maoni ya wanamitandao baada ya kuona matokeo hayo;

nandwai: Sasa aanze kukuja na Oreo sita double double sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

annelmayumi: Kwani hakuwa anaamini hako kapipe kake ka kutoa masusu kanaeza toa mbegu๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

brenda.nyongesa: Ako wapi huyo mkora๐Ÿšฎ

naomiachy: No more oreos๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚,full support

 
 

_.gaudencia_pesh: Sleepy can now sleep in peace

queen__warrior_mercy: Wauw, Mungu ana aibisha shetani mchana ๐Ÿ‘๐Ÿ‘โค๏ธโค๏ธ

waitheramiss: ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ was he even serious.... sasa akuje na box ya oreo ๐Ÿ‘๐Ÿ‘