'Kugombana na watu wazima ni kujitafutia laana,'Wema Sepetu amjibu Zari Hassan

Muhtasari
  • Mitandao ya kijamii kwa muda imeweka moto baada ya waliokuwa wapenzi wake staa wa bongo Diamond Platnumz, Zari Hassan na Wema Sepetu kurushiana makonde kwenye mitandao ya kijamii
  • Kupitia kwenye sekta ya Maoni Zari alikejeli umbo wa mwili wake Sepetu kwa maana alikuwa amekonda

Mitandao ya kijamii kwa muda imeweka moto baada ya waliokuwa wapenzi wake staa wa bongo Diamond Platnumz, Zari Hassan na Wema Sepetu kurushiana makonde kwenye mitandao ya kijamii.

Kupitia kwenye sekta ya Maoni Zari alikejeli umbo wa mwili wake Sepetu kwa maana alikuwa amekonda.

Kwa haraka sana alifuta maoni yake, lakini kwa haraka sana Wema amjibu Zari huku akisema kwamba hamna haja ya kubshana na watu wakubwa huku mashabiki wakidai kwamba Wema anaamini bado yuko mdogo.

 

Wema Sepetu alipakia video na kuandika ujumbe ufuatao;

"Kugombana na watu wazima ni kujitafutia laana... Na mimi nina heshima sana kwa wakubwa zangu... Pia ni mskivu... Nafanyia kazi ushauri... ☺️☺️☺️," Aliandika Sepetu.

Pia kulingana na mashabiki wao wote wawili wamezeeka na wanapaswa kuachana kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii.

Haya hapa baadhi ya maoni ya mashabiki;

romyjons: NDIO MNAFTURU DADA ANGU MSIKIVU???

manka_njau: Sasa wewe ni mtoto jaman 😂😂😂😂

did_clothing_line: Wali wa Msaada Kutoka South Africa

 

officialwemasepetufans: Jibu link kama umelipenda gonga like yako hapa.... Hatugombani na watu wazima sie😂😂😂😂

ngimbasuzy: Ni kweli zari amekuzid vitu vig mnooo fanyanyia kaz ushaur wake

aisharashid786: Kwa utoto huna Shoga kisa umejiweka Kua Mop sorry nakupenda ila ukweli uambiwe mpenz huna utoto

itc_alyah: zari ni mtu mzima lakin kila kukicha kubishana mtandaoni..anataka kuongelewa kupitia jina la wima mxiu🙄

njeymarneymarzer: Chakula tunacho😂😂 Masada wake akagawe Uganda kwao