'Nimebarikiwa kuwa nawe,'Ujumbe wake Lulu Hassan kwa mwanawe akisheherekea siku yake ya kuzaliwa

Muhtasari
  • Ujumbe wake Lulu Hassan kwa mwanawe akisheherekea siku yake ya kuzaliwa
familia ya lulu hassan na rashid abdalla
familia ya lulu hassan na rashid abdalla

Mwanahabari Lulu Hassan ni miongoni mwa wanahabari ambao wanafahamika sana nchini kote na Afrika mashariki.

Lulu amebarikiwa na watoto 3 huku mtoto wake wa pili akisheherekea siku ya kuzaliwa leo.

Huku akisheherekea siku yake ya kuzaliwa mwanahabari huyo alimwandikia mwanawe ujumbe wa kipekee, huku akisema ni baraka kuwa naye katika maisha tele.

Nimebarikiwa sana kuwa na mtwanamume huyu maishani mwangu ❤❤❤ Bwana.Iffy ❤❤❤ anafikisha miaka 7 leo ... Heri ya kuzaliwa mtoto wangu, rafiki yangu wa karibu, msiri, Yeye ndiye vitu vyote unavyoomba kwa mtoto wa kiume. ..Nimebarikiwa kweli Alhamdullilah 🤲🙏🙏❤," Aliandika Lulu Hassan.

Hizi hapa baadhi ya jumbe za mashabiki wakimtakia heri njema ya kuzaliwa mwanawe Lulu Hassan.

massawejapanni: Karembo😍 Happy birthday to our son

jackyvike: Picha kwa ya pili! Happy Birthday Champ

_naomnyaboke: Happy birthday 🎉🎉🎉

neemasulubu: Happy birthday to Iffy❤️❤️🙏🏽

bridgetshighadi: Happy birthday my crushie 😘😘❤️

glora_maria: happy milad Sayeed bro❤️

wangechi.muriuki: Happy birthday this handsome champ❤️