Muigizaji Celistine Gachuli anayefahamika sana kama Selina, hatafuti tena mchumba kwani amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake.
Selina alifahamika sana na mashabiki wake baada ya uigizaji wake kwenye kipindi cha 'Selina' kinachopeperushwa katika runinga ya Maisha Magic.
Muigizaji huyo alifahamisha mashabiki wake habari hizo njema kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram.
Hafla hiyo ilifanyika wikendibaada ya Kimemia kumvisha muigizaji huyo pete, huku Selina akikubali ombi lake.
Alipakia picha ya mkono wake akiwa na pte kwenye ukurasa wa instagram na kuandika "Ndio".
Hizi hapa baadhi ya jumbe za wanamitandao wakimpongeza;
pascaltokodi: ππππ congratulations
hassansarah: Congratulations π€ππ
talliaoyando: Congratulations β€οΈ
azz_iad: Congratulations baby girlπππππππ
serahteshna: Congratulations baby girl πππππ
annestellah: Congratulations hun πππ
mbekimwalimu: Yaaaaaaaas!!!!! Congratulations Booπ₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°