logo

NOW ON AIR

Listen in Live

'Nikiwaambia watu kwa nini shoo haiendelei utanilaumu,' Mgombea wa Wife Material amwambia Eric Omondi

KUlingana na Gigy, Eric Omondi amefanya achekwe na mashabiki

image
na Radio Jambo

Habari24 May 2021 - 10:57

Muhtasari


  • Gigi Money amlaumu Eric Omondi
  • Mwanasosholaiti kutoka Tanzania Gigy MOney ameonyesha na kuandika masikitiko yake baada ya shoo ya Wife Material 2 kufutiliwa mbali kwa mara ya pili
eric omondi

Mwanasosholaiti kutoka Tanzania Gigy MOney ameonyesha na kuandika masikitiko yake baada ya shoo ya Wife Material 2 kufutiliwa mbali kwa mara ya pili.

KUlingana na Gigy, Eric Omondi amefanya achekwe na mashabiki kwani wanadai kwamba ni yeye aliyesababsha kipindi hicho kufutiliwa mbali.

PIa alisema kwamba mchekeshaji Eric hana heshima kwa wanawake, na kuwa hatakuwa amekosea kuwaambia wanamitandao kwanini kipindi hicho kilisitishwa.

"Kwa hivyo Erick unaniita hapa nitukanwe kwa maana unapata mikataba na uwarekodi watu bila kujijua unatufanya sisi vituko, unajua nini utajuta na hautawahi kusahau wake zako…

hata ukona dada Erick ikiwa nitawaambia watu kwanini onyesho hilo haliko na haliendelei utanilaumu "uko na ndugu Erick anataka ku-trend, ndiyo sababu mimi hulipwa lakini hana heshima kwa wanawake na anatufanya tupambane ili aweze kupata maudhui.

Unataka kuonyesha lakini haujali mwanamke au Jembe Nyenzo, hajui sisi ni nani," Aiandika Gigi Money.

Mapema mwaka huu kipindi cha Eric cha Wife Material 2 kilisimamishwa kwa madai ya kutofuta kanuni za filamu ya kenya.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved