Mchekeshaji Hamo amwandikia Jemutai ujumbe wa kipekee anaposheherekea siku yake ya kuzaliwa

Muhtasari
  • Mchekeshaji Hamo amwandikia Jemutai ujumbe wa kipekee anaposheherekea siku yake ya kuzaliwa
Profesa Hamo
Profesa Hamo
Image: Instagram

Mcheshi Profesa Hamo, amemlimbikizia sifa mchekeshaji mwenzake Jemutai anapofikisha miaka 30.

Hamo ambaye wiki chache zilizopita alikuwa na kashfa na Jemutai juu ya utunzaji wa watoto, amemuelezea Jemutai kama mtu wa kuchekesha zaidi kuwahi kupata bahati ya kushiriki maisha naye.

"Nisaidie kumtakia mama huyu wa kushangaza mtu wa kufurahisha zaidi kuwahi kuwa na bahati ya kushiriki maisha na mwanamke wa kipekee

Heri siku yako ya kuzaliwa Karibu kwenye ghorofa ya tatu ntakuonyesha watu huka wapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ #TheHangOut," Aliandika Hamo.

Ujumbe wake unajiri siku chache baada ya mchekeshaji huyo kufichua kwamba wao ni kitu kimoja, na hivi karibuni atamuoa Jemutai kuwa mke wake wa pili.

Hizi hapa baadhi ya hisia na jumbe  za mashabiki;

stephie.bovary: Goat wives mnasikia aje sasa na vile mliongea trash mkimuita home wrecker/sidechick?😍😍😍😍😍..... happy birthday mrs. Hamo😍

maggiemegan7: Hamo you have literally redeemed yourself πŸ’―...Good job❀️

6220_florence: She's too pretty to let her go...love her unconditionally happiest birthday jemuπŸ‘πŸ‘πŸ‘

bacile_ben: Happy birthday bibi ya hamo

king_frank_minneh: Happy birthday πŸŽ‰ to her..... Sawa but utampelekea zawadi ipi?

carolbianca254: Weh happy birthday Mama watoto😍