'Maumivu ya kuachwa,'Kajala akejeliwa na mashabiki baada ya kusema haya kuhusu Diamond

Muhtasari
  • Kajala akejeliwa na mashabiki baada ya kusema haya kuhusu Diamond

Tangu staa wa bongo Diamond Platnumz kuorodheshwa katika BET Awards mashabiki na wanamitandao walitoa maoni tofauti huku baadhi ya wengine wakimuunga mkono.

Pia kuna wale walikejeli orodha hiyo, huku aliyekuwa mpenzi wake Harmonize, Fridah Kajala akimuunga mkono staa Diamond.

Lakini kwa kawaida lazima mashabiki watoe maoni yao, mambo hayakumwendea vyema, bali alipokea kejeli kutoka kwa mashabiki.

"Naungana na Irene katika hili , uzalendo kwanza.Hii ni hatua kubwa Sanaa...

Ifike mahali tuthamini juhudi za mtu binafsi katika kuleta heshima kwa taifa letu na tuache mengine yote pembeni,hebu tufikie stage kukubali kwamba at the end of the day huyu ndio "NEMBO NA KINARA" ya mziki wa Tanzania kwa sasa.

Sikatai na wala sipingi kuwa kuna wengi wazuri zaidi yake na kuna wanaofanya vizuri lakini haitatosha kumvua #platnumz heshima aliyotuletea kama Tanzania pamoja na mengine yote yanayoendelea," Ulisoma baadhi ya ujumbe wake Kajala.

Hizi hapa hisia za mashabiki;

official_tunah: Maumivu yakuachwa na harmonize unayapunguzia apa na tatoo ufuti tu kisa itauma zaidi Mama anaekula ela na maisha mazuri kwa kumuuza Mwanae kwa Mume wa Mtu na still uyo Mwanae Ni wakikeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kajala wa hovyo Sana ww huna maana Kwaiyo Paula anafurahia mume wamtu na ww kisa njaaa unafurahi pia

troublemaker.tz: Kura ni haki yangu tumia kura yako kumchagua msanii unayemtaka kwaajili ya maendeleo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ya mziki africaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

royal.gdanceryan:  mwenyewe ata haombi kura ila nyie sasa mnateseka balaaah achen shobo jmn

queensuzykingsley: Uko nyuma kama buti lagari πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hakuna kuvote dia....voting inafanyika kwa bet wenyewe kutoka kwa academy yao hao ndio watavote..nyinyiombeni tu mungu asedie ashinde πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯