logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Acheni kulinganisha wasanii wetu na msanii Diamond-DJ Lyta awaambia mashabiki

"Tafadhali acheni kulinganisha wasanii wetu na Diamond, wacha tuwakumbatie wetu

image
na Radio Jambo

Burudani03 June 2021 - 10:24

Muhtasari


  • DJ Lyta awashauri mashabiki wawache kulinganisha wasanii wa kenya na Diamond

Mcheza santuri ni mmoja wa wacheza santuri ambao wanafahamika sana humu nchini,amefanya kazi hio kwa zaidi ya miaka kumi.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Lyta alipakia ujumbe huku akiwaonya na kuwashauri mashabiki, na wakenya wengi wawache kulinganisha wasanii wa humu nchini na staa wa bongo kutoka Tanzania Diamond Platnumz.

"Tafadhali acheni kulinganisha wasanii wetu na Diamond, wacha tuwakumbatie wetu," Aliandika DJ Lyta.

Maneno yake yanajiri siku chache baada ya mwanasosholaiti chipukizi Shakilla, kudai kwamba hawezi unga mkono wasanii wa kenya.

"Nashindwa ni wapi wakenya walikosea,wasaii hawa wote wanaimba tu nyimbo kwa jina la mpango wa PlayKE

Na ndio maana wasafi itazidi kuvuma na kuongoza, siweezi unga mkono ujinga, niite Shakilla kutoka kwa ncchi nyingine lakini sio kenya pooooooo!!!MATHOGOTHANIO," Aliandika Shakilla.

Hizi hapa hisia za mashabiki baada ya ujumbe wake Lyta;

eastlandspresident: True bana Kenya tuko na wasanii wadeadly kushinda huyo Kang'ethe but our stupid ladies na uchura zao wanaruka ngoma za home wanafika tz.....Rucheeepeeee

ritchiejshik10: Sad but true Diamond is on another level

tabithastylist: Yani diamond sijui aliwakosea nini๐Ÿ˜‚the guy penye ako ni hardwork yake mazee na the more mnataka kumuangusha the more tutaendelea kumsupport ๐Ÿ˜‚

Jose Katumbide: Exactly you cannot compare heaven & earth

Richy Haniel RH :  Support Kenyan Music ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช

PK Kasirim : But You can't Compare Otile Brown with Tanzania artists. He's way above most of them.

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logoยฉ Radio Jambo 2024. All rights reserved