logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Hakuna hata mmoja wetu alizaliwa akitumia pombe-Msanii Vivianne awaelimisha mashabiki

Kulingana na msanii huyo haya yote ni mambo ambayo watu wamejiekea maishani mwao.

image
na Radio Jambo

Burudani09 June 2021 - 21:13

Muhtasari


  • Msanii Vivianne awaelimisha mashabiki wake
vivian musician

Msanii Vivianne kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram amewashauri mashabiki wake wote ambao wana tabia ya kulewa ovyo ovyo.

Sio walevi tu bali wale wana mazoea ya kutazama ponographia, na hata kucheza kamari.

Kulingana na msanii huyo haya yote ni mambo ambayo watu wamejiekea maishani mwao.

"Pombe na ujasiri ni uongo marafiki wangu wapendwa โ˜บ๏ธ.

Pia niruhusu kufafanua; hakuna hata mmoja wetu alizaliwa akitumia pombe, ponografia, kamari, michezo ya video, mitandao ya kijamii, habari za usiku nakadhalika.

Hizi ni mambo ya kujiekea na unapogundua kuwa huwezi kufanya kazi bila jua tu umeuma nje na mwishowe ni machoossss ๐Ÿคฆ๐Ÿพ‍โ™€๏ธ

Tuone aibu shetani na tutangaze uhuru kwa maisha yetu. Unapendwa. Unatosha. Katika hali yako ya asili ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

#UkoTuSawa ndugu yangu mpendwa na dada ๐Ÿ˜€," Aliandika Vivian.

Ni ujumbe ambao mashabiki walichukua fursa hiyo na kumpongeza msanii huyo kwa ujumbe wake wa kuelimisha.

Hizi hapa hisia zamashabiki;

ngochijohns: Thank God for using u to reach us out

hakiclaude: One and three isn't real , it's supportive

muiruri_sparks: its still posted on the same social platform, social medis is for fun , educating and informing, alafu kuna wale waliamua kufuatilia maisha ya wenyewe huko

tonygichengo: Wait... Porn isn’t real ๐Ÿ˜ฎ?

kelvinwaringa: hapo kwa video games umeuma nje๐Ÿค“

geraldiemax: Perfect message ๐Ÿ‘๐Ÿ˜Š

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logoยฉ Radio Jambo 2024. All rights reserved