Picha ya siku!Kutana naye mcheza santuri wa Radiojambo DJ Nyc

Muhtasari
  • Kutana naye mcheza santuri wa Radiojambo DJ Nyc
DJ Nyc
Image: Instagram

Kazi ya kucheza santuri ni moja wapo ya kazi ambayo imetambulika kama ya wanaume, na kweli ni kuwa kazi hiyo ina asilimia kubwa ya wanaume.

Kuna baadhi ya wanawake ambao wamekuwa wakijikakamua katika kazi hiyo, na kugeuza mawazo wa watu wengi.

Pia ni kazi ambayo ina changamoto nyingi haswa kwa wanawake.

Hii leo ikiwa ni siku ya wanawake, tutamtazamia mcheza santuri wa radiojambo DJ Nyc, ambaye amekuwa akiwafurashisha wengi kwa kazi yake.

DJ Nyc amekuwa miongoni mwa wacheza santuri wanawake bora, bali na kazi yake Nyc amebarikiwa na urembo kupindukia.

Hizi hapa baadi ya picha za mcheza santuri huyo;

DJ Nyc
Image: instagram