Story za Ghost: Mwanamume wa miaka 90 amuoa msichana wa miaka 19

Muhtasari
  • Katika kitengo cha story za Ghost, alisimulia jinsi kizaazaa kilishuhudiwa Tana River
  • Mwanamume wa miaka 90 amuoa msichana wa miaka 19
Ghost Mulee

Je walikuwa sawa waliposema 'Age is just a number' katika maisha ya mapenzi  kwani tumeshuhudia na hata kuyaona maneno hayo yakitiwa nguvu na vitendo vya watu.

Katika kitengo cha story za Ghost, alisimulia jinsi kizaazaa kilishuhudiwa Tana River baada ya mzee wa miaka 90, kumuoa msichana wa miaka 19.

Usimulizi

"Mapenzi ndio yana Run dunia ata msanii Alikiba aliimba, kizaazaa kilishuhudiwa eneo la Tana River baada ya mzee wamiaka tisiani kumuoa msichana wa miaka 19

Wawili hao walitoroka wakaenda kuishi Mombasa baadaye walirudi na kufunga ndoa,"

Swali kuu ni je unapaswa kuachana na menzi wako kwa miaka mingapi ili muoane?

Mzee wa miaka 90 aoa msichana wa miaka 19. Je, mnafaa kushindana na miaka mingapi ili kuoana? GIDI GIDI Ghost Mulee #StoryZaGhost #GidiNaGhostAsubuhi #OngeaUsikike

Posted by Radio Jambo on Thursday, July 15, 2021