logo

NOW ON AIR

Listen in Live

'Ulisahau ulikuwa unapigania jamal,'Mashabiki wamwambia Amber Ray baada ya kuandika ujumbe huu

Wanamitandao walipokea ujumbe vyema wakati wengi wao waliangua kicheko

image
na Radio Jambo

Habari21 July 2021 - 12:27

Muhtasari


  • Wanamitandao wamshambulia Amver Ray baada ya ujumbe wake
  • Wanamitandao walipokea ujumbe vyema wakati wengi wao waliangua kicheko baada ya kusoma maelezo yake

Tangu mfanyabiashara Jamal Marlaw alipoondoka nyumbani kwa Amber Ray na kurudi kwa mkewe na watoto, Wanamtandao wamekuwa wakingojea wakati ambapo Amber hatimaye atashiriki maoni yake juu ya madai ya kuachwa.

Kama vile watu walidhani kwamba atakuwa amevunjika moyo na kuchukua muda kabla ya kushiriki chapisho lake lolote kwenye mitandaoya kijamii, amewashangaza mashabiki wake wengi kwani alikuja mwenye nguvu na mkali kama kawaida

Amber alipakia picha kwenye ukurasa wake wa instagram na kusema kwama hamna haja ya kumlilia mwnamume ambaye atakuwa ndugu yao wakati yesu atarudi.

Wanamitandao walipokea ujumbe vyema wakati wengi wao waliangua kicheko baada ya kusoma maelezo yake.

Wengine walimwambia kwamba walidhani kwamba alikuwa ametangaza kwamba wanaume wanapaswa kutumiwa na wanawake wengi ilhali yeye aliamua kukata tamaa.

"Lakini kwa nini ujiue kwa ajili ya jamaa ambaye atakuwa ndugu yako wakati yesu atakapokuja," Amber Aliandika.

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki

hawah08: Ulisahau ulikuwa unapigania jamal ukisema mambo nikushare. A man will embarrass you hio amini ata kama wewe ni 1st wife usijiaibishe juu ya kende

_fantasylagirl_: Kwani ni ukweli umeachwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kumbe kwa ndoa sio mbali umerudi haraka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

littlep2519: Umeachwa ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ,,, sombarry comb me๐Ÿ˜ญ

mulei.joyce: so is true maembe ni ya msimu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ

chege5208: Sasa motivational quotes zitakua zinatoka huku juuu sa ameachwa๐Ÿคฃ

clinton_dancaina: Usharudi soko, kimeumana hii ni kenya๐Ÿ˜‚

iamtriciepiper_the_original: Ebu tuletewe ile video ilikuwa tunaambiwa"huyo wako ndio tushare ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚"


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logoยฉ Radio Jambo 2024. All rights reserved