Lala salama:Muigizaji wa kipindi cha Selina Patricia aomboleza kifo cha nduguye

Muhtasari
  • Helen Keli maarufu kama Patricia Mackenzi kutoka wenye kipindi cha Selina kinachopeperushwa katika runinga ya Maisha Magic East, amempoteza ndugu yake
Helen Keli
Image: Instagram

Helen Keli maarufu kama Patricia Mackenzi kutoka wenye kipindi cha Selina kinachopeperushwa katika runinga ya Maisha Magic East, amempoteza ndugu yake.

Haya yanajiri siku chache baada ya kupakia picha ya ndugu yake kwenye ukurasa wake wa instagram na kusema kwamba anahitaji msaada kwani yuko kwenye chumba cha wagonjwa mahututi.

Pia alisema kwamba alikuwa anaugua saratani.

Kuppitia kwenye ukurasa wake alipakia picha wakiwa waili na kuandika ujumbe huu;

"Mengi ya kusemwa kwa ajili ya mwanamume kama wewe, lakini neno moja tu ndilo linaweza kukutambulisha lala salama," Aliandika Helen.

Hizi hapa jumbe za mashabiki;

fidelmaithya: ๐Ÿ’” Ero was truly a good man. A gentle soul, kind and very giving of his time. May he Rest In Peace ๐Ÿ™๐Ÿฟ

rita.wangui: Take heart God knows best,May he rest in peace ๐Ÿ•Š๏ธ๐Ÿ•Š๏ธ๐Ÿ•Š๏ธ

jerard.bertha: Pole madam R.I.P ๐Ÿ’”๐Ÿ’”

motoadv_kenya: So sorry for your loss ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข

estheratsango: Woooiye so sad to learn thisโ€ฆ just the other day I saw your post and said a little prayer na contributions for his medical. May his soul rest in internal Peace ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข

winnie_mukaria: May his soul rest in peace ๐Ÿ•Š๏ธ

shunzamoana: Rest in peace Eric๐Ÿ˜ข