Nimekua nikijiita mshindi hata niliposhindwa-Ujumbe wa muigizaji Govi uliowaacha wanamitandao wakizungumza

Muhtasari
  • Ujumbe wa muigizaji Govi uliowaacha wanamitandao wakizungumza

Muigizaji Malik Lemmy maarufu Govi kutoka kwa kipindi cha Machachari kilichokuwa kinapeperushwa kweye runinga ya Citizen, ameandika ujumbe ambao umewaacha mashabiki wake wakizungumza.

Govi alifahamika sana kutokana na uigizaji wake, katika kipindi hicho.

Kutokana na umaarufu ambao alipokea kutoka kwa kipindi hicho, siku ya Alhamisi aliwaacha mashabiki na wanamitandao wakizungumza baada ya kuandika ujumbe, ambao wengi walisema kwamba amekosewa.

Wakati uliopotea, rasilimali zilizopotea, moyo ulivunjika Maisha yangu yamekuwa tu juu ya kukwaruza migongo yao na hawanuna yangu Nimekua nikijiita mshindi hata niliposhindwa; kukiri kuzaa mali Mwishowe nilijifunza kuweka pesa zangu karibu kwa sababu hiyo ndio kitu pekee cha uaminifu," Alisema Govi.

Hizi hapa hisia za wanamitandao;

stanoh._Nani amekukosea mkubwa

julusarah: Always relevant. It's called "Fame with Aim". Keep inspiring this generation man. That's all it needs before many many expire as if they even never existed. Blessed the womb that bore you.

jusper_099: You can scratch for you self G🙌

earthman_poe: tFocus bro and keep on fighting and build an Empire..we have already crowned you the King,,they should wait for the next season

onyuka_: “Keep my money close coz that’s the only thing that’s honest“ @malik_lemmy That’s millionaire vocabulary😎.