Picha ya siku! Tazama picha ya zamani ya Raila Odinga iliyozua mdahalo mitandaoni

Muhtasari
  • Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga ni miongoni mwa wanasiasa ambao wamekuwa kwenye sekta ya siasa kwa muda mrefu
  • KUpitia kwenye ukurasa wake wa twitter alipakia  picha yake akiwa kijana na wanamitandao walizua mdahalo mkali mitandaoni kutokana na picha hiyo
KInara wa ODM Raila Odinga
Image: Maktaba

Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga ni miongoni mwa wanasiasa ambao wamekuwa kwenye sekta ya siasa kwa muda mrefu.

KUpitia kwenye ukurasa wake wa twitter alipakia  picha yake akiwa kijana na wanamitandao walizua mdahalo mkali mitandaoni kutokana na picha hiyo.

Wanamitandao walitoa hisia tofauti na hizi hapa baadhi ya hisia zao;

winnie njenga: When Raila was innocent by then he has no plans of conning people and stealing mollasses plant!!

Tom Omollo: Baba, no doubt you are the real hustler! Our Dad left us with these photos. Quite memorable! The people who shaped the Kenya today.

KÎJÅÑÃ_¥Ã_KÎÅMBÛ II™: Hapa ulikuwa umechapwa na maisha Hadi nywele inakataa kumeaFace with tears of joySkullSkull#Tbt

ShynPTM: Aki ati mungu alikua anajua hii sura itakuja kutusumbua siku moja na BBI,,ngai ni sawa tu.

Jackson Wangai: The Blood of Jesus Christ reigns in Kenya

Wuod Nyasebo: The humble boy who became kingmaker

Hii hapa picha hiyo;