Hongera!Dada yake Diana Marua hatimaye ajifungua

Muhtasari
  • Diana Marua kwa muda sasa amekuwa akipakia safari ya ujauzito wa dada yake kwenye mitandao ya kijamii na kumtakia kila laheri
Diana Marua na dadake Michelle
Diana Marua na dadake Michelle
Image: INSTAGRAM//DIANA MARUA

Diana Marua kwa muda sasa amekuwa akipakia safari ya ujauzito wa dada yake kwenye mitandao ya kijamii na kumtakia kila laheri.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Marua amefichua kwamba tarehe 18/8/2021 ni siku ya kukumbuka maishani mwake baada ya dada yake kujifungua.

"Baraka zetu ndio hizi hapa,asante Yesu Mummy @d_eimos yuko sawa na mtoto ana afya, na mrembo kwa dunia hii

Ni mara yangu ya kwanza kuwa kwenye chumba cha kujifungua, na kuona mchakato wote wa kujifungua.asante daktari Nyamu kwa kuniruhusu nione mchakato huo wote," Aliandika Diana huku akiwa amepakia pcha yake na mtoto wa dada yake.

Hizi hapa baadhi ya jumbe za mashabiki, huku wakimpongeza;

254lydiahmtolah: 😍😍😍😍aaaaaawh mnanipea pressure nitafute wangu

john_ogo: Congratulations to her the lady. Yaani watoto wa siku hizi wanazaliwa already kaa makucha zishapakwa hata😂

infinity_clix: All tb best!! Safe delivery to her

fidelmar_kariuki: Amen Amen Dee and you'll always be blessed❤️❤️❤️🔥

winfaithofficial: Congrats Mitchy😍