Hongera!Muigizaji Njoro wa Uba amvisha mpenzi wake pete ya uchumba

Muhtasari
  • Muigizaji Njoro wa Uba amvisha mpenziwe pete ya uchumba
Image: KInyua joe/INSTAGRAM

Muigizaji Joe Kinyua maarufu Njoro wa Uba, kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram amepakia picha akimvisha mpenzi wake pete ya uchumba.

Njoro anafahamika sana kutokana na kipindi cha Njoro wa Uba kinachopeperushwa kwenye runinga ya Maisha Magic East.

Ni kipindi ambacho kimeenea na kufahamika sana kwa muda mrefu, ambapo muigizaji huyo uigiza kama dereva wa texi.

Wawili hao walionekana  na furaha na kulingana na ujumbe wake Njoro baada ya kupakia picha hiyo ni wazi kuwa mpenzi wake Wangari alisema ndio.

"Hakika mapenzi ni kitu kizuri, ulinifuta kutoka kwa miguu yangu," Aliandika Joe.

Mashabiki waliwapongeza wawili hao, na hizi hapa jumbe zao za pongezi.

brendahjons: Congratulations to you two... I'm not even cutting onions at all... I'm just happy... 😍😍😍😍😍😍😍😍

phil_director: Alaa😍😍😍 congratulations bro πŸŽ‰πŸŽ‰

nyakundi_isaboke: Congratulations bro πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ kubwa hii

nickndeda: Superstar!!!!!! πŸ”₯πŸ‘πŸ‘πŸ‘ Congratulations

its_mercykerry: CongratulationsπŸ‘πŸ‘πŸ‘!!!! Yaaaaaaaaaas

shah_nyangi: Congratulations Joe ❀️ Blessings!

dreamgalmercy: Woow congratulations you two❀️