Mungu wape nguvu!Mashabiki wawatumia Size 8 na DJ Mo jumbe za kuwatia moyo

Muhtasari
  • Mashabiki wawatumia Size 8 na DJ Mo jumbe za kuwatia moyo

Mcheza santuri DJ Mo na mkewe Size 8 wametangaza na kuwafahamisha mashabiki wao kwamba wamempoteza mtoto wao wa tatu.

Kupitia video waliopakia kwenye mitandao ya kijamii ya youtube,ilionyesha jinsi msanii huyo alifanyiwa operesheni ili kuokoa maisha yake.

KIla kitu kinatendeka kwa sababu na hatuwezi uliza njia za Mungu maswali,anajua matamanio ya mioyo yetu na  kile tunahitaji maishani mwetu.

Haya yanajiri siku chache baada ya wawili hao kutangaza habari njema kwa mashabiki na wanamitandao.

Mashabiki walichukua fursa hiyo na kuwatumia jumbe za kuwatia moyo na hizi hapa baadhi ya jumbe hizo;

mungai.philip: 😢poleni Sana the muraya's

jeramic_aringo: 😢 this is so much to bear. But God has his ways too. You are alive👏. We will continue praying for you mama.

mchagali: May you find peace that surpasses human understanding ❤️

rayanadaniel1: 😢😢pole sana. It is well

fridahkay254: 😢God comfort you

ma_trionation: It shall be well...God is in control 🙏🏾🙏🏾

nyokabi_mry: God knows why. If it is God's will let it be.

dorothylagat: So sorry . May God be with you during this trying times

mghoi1963: Sorry for the loss

anita_ley: 😢😢God the giver,..take heart size 8