Vijana mkifika miaka 25 tafuteni bibi-Msanii Loise Kim awashauri wanaume

Muhtasari
  • Kama umekuwa kwenye mitandao ya kijamii, unaweza kuwa umekutana na msanii Loise Kim, akiwashauri mashabiki wake
  • Licha ya changamoto ambazo amekuwa akipitia amekuwa na ujasiri wa kipekee
Loise KIm
Image: Instagram

Karne ya sasa kupata vijana wakiwa wameamua kuoa ni nadra sana kwani wengi wao wanaogopa  majukumu ya kuwa wanandoa.

Kama umekuwa kwenye mitandao ya kijamii, unaweza kuwa umekutana na msanii Loise Kim, akiwashauri mashabiki wake.

Licha ya changamoto ambazo amekuwa akipitia amekuwa na ujasiri wa kipekee.

Saa chache zilizopita msanii huyo amepakia ujumbe akiwashauri vijana waweze kuoa, na kuacha kuishi na wazazi wao.

Ni ujumbe ambao ulipongezwa na baadhi ya mashabiki wake, na kukubaliana na msanii Loise.

"Nyinyi vijana, mukifikisha miaka 25, hampaswi kuwa mnaishi kwa nyumba ya mama yenu, mukingojea chakula kiive

WajibikeniTafuta bibi, anza maisha,wazazi wote wana furaha kuwaona watoto wao wankua kutoka kiwango kimoja hadi kingine," Aliandika Loise.

Hizi hapa baadhi ya jumbe za mashabiki;

wanjamadavid3: that is exactly what my dad is telling me...but where are these wife materials?😂😂

jennifawambui: Tell Them Ma'am 😍

wambui_wa_nyawira: 25 ni mingi sana nasio boychild peke pia ngaochaod

jaquesyombu: Na mbona ulimwanika yule alitaka kukoa... Or what's your intention??