'Wewe ni rafiki mzuri,'Wanamitandao wamwambia Daddy Owen baada ya kukutana na DJ Mo kumpa pole zake

Muhtasari
  • Wanamitandao wamwambia Daddy Owen baada ya kukutana na DJ Mo kumpa pole zake
daddy owen
daddy owen

Mcheza santuri DJ Mo na mkewe Size 8 wiki jana walitangaza kumpoteza mtoto wao wa tatu, hii ni baada ya Size 8 kufanyiwa operesheni ili kuokoa maisha yake.

Asilimia kubwa ya wanamitandao walituma jumbe zao za pole kwa familia ya wawili hao, huku wengi wakiwatia moyo.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Daddy Owen alipakia picha akiwa na mcheza santuri Mo na kuwaambia mashabiki waweke familia ya Mo kwenye maombi kwa yale wanapitia.

Wanamitandao walipendezwa na hatua ya Owen ya kumtembelea Mo, huku baadhi yao wakimsifia kwa hatua yake.

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki;

stellah7595: You are truly a great friend

yawira_l: Say hello to them and tell them,the Lord is always Faithful in His deeds.

everline.odhiambo: A good religion is that which visits the fatherless, widows...... James 1:27

samtracy_ke: He is, Always faithful