Ukisikia jina la Zari, wengi wanamfahamu kama baby mama wa staa wa bongo Diamond Platnumz.
Zari ni miongoni mwa wanasosholaiti ambao wanakipaji cha kusaidia, na wenye bidii maishani mwao.
Kama tunavyojua, Zari amekuwa akipokea kejeli nyingi mitandaoni, huu baadai ya wanamitandao wakidai kwamba hakutia bidii, ili kupata mali na utajiri alionao.
Wengi wamekuwa akieneza madai hayo kwani mali ya aliyekuwa kuwa mumewe, marehemu Ivan iliachwa mikononi mwake.
KUpitia kwenye uurasa wake wa instagram Zari amepakia picha, iliyoibua hisia mitandaoni.
Baadhi ya mashabiki wameweza kumpongeza kwa urembo wake, huku baadhi yao wakidai kwamba anendelea kuwa mrembo kila kuchao.
Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki;
maryjcollection33: Kila siku anazidi kuwa mzuri mweeeeeee😍😍😍😍😍😍😍
_.suleh._: Ukiwa na Ela uzeeki Mama @zarithebosslady
colo_boy_mane: Roho safi mumy🔥 @zarithebosslady
mayralove81: May God keep you shining mama Tee🔥🔥🔥
esthershalom402: Nothing dont mind😍 you look great