'Unahatarisha maisha ya Juliani,'Mike Sonko amwambia Lilian Ng'ang'a

Muhtasari
  • Pia kulingana na gavana huyo wa zamani Lilian hapaswi kupakia uhusiano wake wa sasa mitandaoni
Image: Hisani

Gavana wa zamani Mike Sonko, kupitia kwenye ukurasa wake wa facebook amemshauri aliyekuwa kewe gavana wa Machakos, Lilian Ng'ang'a aendelee na maisha yake kwa amanni.

Kulingana na Sonko,Lilian anahatarisha maisha yake msanii Juliani.

Alfred Mutua na LIlian Waliacha mwaka huu, huku wakilimbikiziana sifa, na kudai kwamba uhusiano wao haukufanya kazi ndio maana waliacha kwa makubaliano.

Pia kulingana na gavana huyo wa zamani Lilian hapaswi kupakia uhusiano wake wa sasa mitandaoni.

"Aki sipoa.... wacha kuumiza Kavaluku endelea na maisha yako kwa amanisasa unahatarisha maisha ya msanii," Aliandika Sonko.

Ujumbe wake Sonko uliibua hisia na hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki;

Kendi Mwobobia: I don't think they were legally married. Must have been come we stay. Moving on swiftly. Congrats gal

Agnes Obed: Come on sonko, let her settle where her heart feels alright. Hii dunia haitaki makasiliko­čśĆ­čśĆSome of the greatest battles are fought within the silent chamber s of our own souls

Tish Henry Gal: Kwani kavaluku was her life! He even said they parted ways! Ones man poison is another mans meat. Julian nyama hio, tafuna bro

Sen Kev Orfila: I agree with you, Gov Mutua may have messed in his love life with Lilian but in no way does he deserve the humiliation by these boys and true to what Sonko has said...Very very soon mtaskia Juliani akilia