Hamisa Mobetto azua mdahalo mitandaoni baada ya kusema anamtafuta 'sugar daddy'

Muhtasari
  • Hamisa Mobetto azua mdahalo mitandaoni baada ya kusema anamtafuta 'sugar daddy'
Hamisa 2
Hamisa 2

Uzuri na urembo wa Hamisa Mobetto, umekuwa ukiwakosesha wanaume wengi usingizi, kwani amebarikiwa na umbo la kipekee la mwili.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Hamisa amepakia picha yake na kusema kwamba  anamtafuta 'Sugar Daddy'.

Wakati huu mashabiki wake hawakuangalia tu picha bali waliangalia ujumbe alioandika.

"Namtafuta sigar daddy ambaye ana meli," Aliandika Hamisa.

Baadhi yao walimuuliza kama hana mwanamume, au anacheza tu na akili za mashabiki, pia baadhi yao walimshauri anunue meli yake mwenyewe kwani ana pesa.

Ujumbe wake uliibua hisia tofauti kati ya mashabiki na hizi hapa baadhi ya hisia zao;

doreen_moraa_moracha: @hamisamobetto incase you find 2 give me 1😂😂😂😂😂

supreme__tz: You already on a boat....you want another one 😮😮😮

makorokochokocho_2016: USHAAANZA😂🙌🏾

madamsuzyog: Huwa najiuiza sana..Misha haya mpaka lini???

baa_nuru: Queen kama queen shishi anaiga

momo_preety: Uyo ajakutosha dogo😂😂

official_frank_avera: Nakuelewa dada ww❤️❤️