logo

NOW ON AIR

Listen in Live

'Nasema hivi Sitoi Wimbo Mpya Niueni ...,'Mbosso amjibu shabiki aliyemsihi atoe kibao kipya

Alisainiwa baada ya kuondoka kwenye  bendi maarufu ya Yamoto

image
na Radio Jambo

Habari03 November 2021 - 13:52

Muhtasari


  • Alisainiwa baada ya kuondoka kwenye  bendi maarufu ya Yamoto ambayo walikuwa bendi ya wanachama wanne
66855938_1220357588125307_5681176959875639446_n

Mbosso ni mmoja wa wasanii ambao umesainiwa chini ya lebo ya WCB inayomilikiwa na staa wa bongo Diamond latnumz.

Alisainiwa baada ya kuondoka kwenye  bendi maarufu ya Yamoto ambayo walikuwa bendi ya wanachama wanne.

Na Kumfanya awe msanii pekee aliyesainiwa chini ya lebo ya Wasafi.

Mbosso ni msanii mmoja mwenye vipaji. Kitu ambacho kimemfanya apate msingi wa shabiki mkubwa wa ndani na kimataifa.

Vibao vyake vimekuwa vikipokea watazamaji zaidi ya milioni kwenye youtube kitu ambacho kinamfanya awe bora zaidi wakati akiimba muziki wa bongo.

Amekuwa kimya kwa muda mrefu kabla ya  kutoa muziki na mashabiki hawakuweza kutulia bali yalimshauri atoe kibao kipya kwani wamechoka kusubiri.

"Mbosso tunaomba utoe wimbo mpya tumechoka kusubiri," Shabiki aliandika kwenye bango.

 Jibu lake lilikuwa;

"Nasema hivi Sitoi Wimbo Mpya Niueni ..." Mbosso alijibu kwa utani.

 

 

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved