Simuachi nampenda,'Paula Kajala awajibu wakosoaji wake

Muhtasari
  • Paula Kajala awajibu wakosoaji wake
Paula Kajala na Rayvanny
Image: INSTAGRAM

Siku chache msanii maarufu wa Tanzania alivuma mitandao baada ya mwanaharakati  Mange Kimambe kufichua na kumshutumu Rayvanny kwa mdanganya mpenzi wa muda mrefu Paula  Kajala baby mama wake Fahyma.

Madai hayo yalikuja naujumbe mrefu ya sosholaiti huyo ambapo wawili hao, Rayvanny na Fahyma walikuwa wameonekana wakijivinjari kwenye hoteli mpya ya Rayvanny Havana.

Iliwashangaza sana mashabiki ambao kwa hakika wana matumaini makubwa kwa wanandoa wapya na wanaopendana hivyo kuwaacha na maoni tofauti.

Naam, Paula amekanusha madai ya mpenzi wake kwa kuweka picha ya msanii huyo ikimiminika na mate juu ya macho yake.

Pia kwenye ukurasa wake wa instagram, Paula amepakia picha yake na Rayvanny na kuwajibu wakosoaji wake kwamba hatamuacha kwani anampeda.

Pia aliendelea na kusema kwamba wakosoaji wake wana wivu.

"Na simuachi nampenda ๐ŸฅฐWenye wivu endeleeni kupigwa shoti tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚@_therealpaulakajala," Aliandika Paula.