Huku msanii Nadia Mukami akisherehekea siku yake ya kuzaliwa, amemsihi mpenzi wake ampachike mimba.
Usemi wake uliibua hisia tofauti kati ya mashabiki, hii ni baada ya Arrow Bowy kumwandikia Nadia ujumbe na kmtakia heri njema siku yake ya kuzaliwa.
"Leo ni siku ya kuzaliwa ya malikia wangu, nakupenda sana maisa marefu To To," Aliandika Arrow Bowy.
Huku Nadia akijibu ujumbe wake alikuwa na haya ya kusema;
Najua unamtaka mpezi ambaye ni Koffi Annan lakini sisi World War 3 ndio tuko!!! ๐To annoying you till Infinity!!! Mimi ndio niko babe!๐ Mimba sasa chap chap ๐ ๐ฆ."
Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki;
cecile_agness: @arrowbwoy niseme nisisemeee๐๐๐
chamomile313: @arrowbwoy ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ 6months achana nayo sasa..
zion_njeri: Happy birthday to her๐๐
mwallow_arts_ke: Blessings..More life to Mukami girl๐