Tulikupenda sana,'Milly Wajesus amuomboleza nyanya yake

Muhtasari
  • Milly Wajesus ni miongoni mwa wauanda maudhui wanaojulikana sana mitandaoni na mashabiki wao
  • Licha ya kuwa  mtu mashuhuri pia ni mjasirimali,na amebarikiwa na mtoto mmoja
Image: INSTAGRAM/ Milly Wajesus

Milly Wajesus ni miongoni mwa wauanda maudhui wanaojulikana sana mitandaoni na mashabiki wao.

Licha ya kuwa  mtu mashuhuri pia ni mjasirimali,na amebarikiwa na mtoto mmoja.

Kupitia wenye ukurasa wake wa instagram Milly alipakia picha yake na nyanya yake huku akidai kwamba walikuwa wamempenda na inauma kusema kwakheri.

Huu hapa ujumbe wake;

"Leo tunasherehekea maisha mazuri. Tulikupenda sana shosho , inauma kukuambia kwakheri😭. Umeacha pengo kubwa katika familia yetu na tunamwamini Mungu atatufariji na kutujaza amani yake.

Tutakuthamini milele ulivyokuwa kwetu. Endelea kucheza na malaika na guka hadi tukutane tena 🥰. lala salama bibi," Aliandika Milly.

Wanamitandao wametuma jumbe za kuwatia moyo, na hizi hapa baadhi ya jumbe zao;

terencecreative: Poleni saana🙏🙏🙏

mojishortbabaa: Poleni sana🙏🏾

millychebby: It is well

dianahdaisy: Rest In Peace shoshh

kauchi_imagine: Celebrate for the ones we got here now😍

wairimukamande: My sincere condolences Milly😢,,,it s well. Shine in perpetual light Cucu