Sawa hanipendi kwa hiyo?Mpenzi wake Rayvanny awauliza wanaosema wataachana

Muhtasari
  • Paula Kajal  ni mpenzi wa sasa wa msanii wa Rayvanny,Wawili walianza kuchumbiana baada ya Rayvanny namama wa mtoto wake Fayvanny kuachana
Paula Kajala na Rayvanny
Image: INSTAGRAM

Paula Kajal  ni mpenzi wa sasa wa msanii wa Rayvanny,Wawili walianza kuchumbiana baada ya Rayvanny namama wa mtoto wake Fayvanny kuachana.

Kwa kuwa Paula na Rayvanny walianza kuchumbiana uhusiano wao haukupokewa vizuri na watu huko nje kwa kuzingatia alivunja ndoa ambapo mke wa zamani alikuwa na mtoto.

Kupitia kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii ya instagram, amekuwa akiwakejeli wakosoaji wake ambao wamekuwa wakisema kwamba Rayvanny amekuwa akimcheza baada yake kuenda uturuki kusoma.

Pia Paula amewashauri wakosoaji wake waachane na maisha yake, kwani ata kama Rayvanny hampenzi sio shida yao.

"Namuona kifupi nyundo anavyonitafuta mwambieni mimi ndo mama mwenyenyumba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Okay tuseme sawa hanipendi kwahiyo 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣," Aliandika Paula.

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki;

penny_de_cute: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚naona kabsa unakazaa akili kama hakupendi ni shida zako sisi hazituhusuu πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ

achelmwagike: Pole hakuna mwanume ambaye mwazo anakua hakupendi sikatai unaweza ukawa unapendwa ila angalia sana wanaume vigeu geu naanashinda nawanawake wakila aina wew upo tu poleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

khatibusarah: Mapenzi ya kitoto yanashida sana yaani ungekua mwanangu ningekuchapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

awalehodan: kwahiyo usijinyonge ila upigwe shoti ufe haaaahaaH!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Tit for Tat darling😒😒