'Mwamba wangu,'Ujumbe wa Mejja kwa mwanawe anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa

Muhtasari
  • Ujumbe wa Mejja kwa mwanawe anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa
Mejja
Image: Hisani

Hata baada ya kuachhana na mke wake Mejja anazidi kutekeleza na kuwajibika kama baba wa mtoto wake.

Mejja amekuwa akitoa kibao kimoja baada ya kingine, huku mashabiki wakipenda vibao vyake.

Mapema mwaka huu akiwa kwenye mahojiano na radiojambo, aliweka wazi kwamba huwa halipishi wasanii ili waweze kufanya collabo naye,

Mejja ni msanii ambaye ametoa vibao akiwashirikisha wasanii mbalimbali nchini.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alipakia picha akiwa na mwanwe, huku akimtakia heri njema ya siku yake ya kuzaliwa.

"Heri njema siku yako ya kuzaliwa kwa Kwa Mwamba Wangu na Nguvu zangu," Aliandika Mejja.

Hizi hapa baadhi ya jumbe za mashabiki wakimtumia mwanawe Mejja jumbe huku wakimtakia heri njema siku yake ya kuzaliwa;

sheezzywanjiru: Happy birthday to her ❤️ more life 🎂 😍😍😍😍

joyce_saimy: Happy birthday babygurl😍😍😍

whitney___edward: 🔥🔥🔥🔥happy birthday

lillian.kieti: Happy birthday 🎉🎉😍